tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viazi Vikuu Vya Porini
  5. Vitex Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 19/10
7 maoni

Feminine Harble

+1
NeoLife
Chapa
Virutubisho vya Afya ya Wanaume
Aina
Tata/changamano ya vitamini nyingi
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Wanawake
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Yote ya Asili, Kikaboni
Vipengele
Sanduku la Karatasi
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Tabata, Kinyerezi
Call and whatsapp
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-22:00
Dar es Salaam • Kinondoni
Mwenge bus station
Mwenge Complex
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:00-18:00
*Feminine Herbal Complex*: Mchanganyiko wa mimea tiba unaofanya kazi kwa pamoja (synergistically) ili kuboresha afya ya *mwanamke*. Husaidia kusawazisha homoni mwilini. Una viambato kama vile: St John’s Wort, Wild Yam, Red Sage, Vitex, Lady’s Mantle, Chinese Angelica, Skullcap, Tangawizi (Ginger), Dandelion na Liquorice. Haina bidhaa za wanyama wala kemikali. Inaweza kusaidia kwa: Kupunguza uvimbe (inflammation) mwilini Kuongeza nguvu na uchangamfu (vitality) Kupunguza jasho kupita kiasi Kurekebisha mzunguko wa hedhi usio wa kawaida Kupunguza msongo mdogo wa mawazo (mild depression) Kupunguza wasiwasi (anxiety) Kupunguza hasira na mabadiliko ya hisia (irritability) Kupunguza kuhifadhi maji mwilini (water retention) Kusaidia matatizo ya kushindwa kukojoa vizuri (urine retention)
TSh 60,000

TSh 55,000

≥ vipande 2
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif