FAIDA ZA EDMARK GINSENG
Inarudisha kumbukumbu, Uwezo wa kuona na kusikia. Inazuia matatizo ya Moyo, Presha na Kupooza. Inaondoa Cholesterol (Lehemu) mbaya iliyozid kwenye mishipa ya Damu na mfumo wa Moyo. Inatibu athari za vidonda vya tumbo. Inatibu athari za saratani. Inatibu athari za uzazi kwa wanaume, Huongeza kasi ya DNA na utunzwaji wa protini kwenye korodani na kusababisha seli kuongezeka katika INI. Inaongeza nguvu za kiume. Inazidisha uwezo wa kuona na kusikia, hufanya macho kuwa imara. Hukufanya kuwa makini, na kuongeza uwezo kukumbuka katika kujifunza. Inashusha shinikizo la juu la Damu, inashusha presha ya juu. Huzuia INI lisiharibike kutokana na unywaji wa pombe. Inakupa viambata vinavyopambana na uzee wa mapema (Kuchakaa kwa mwili). Husababisisha kupona kwa chembe hai nyekundu za damu, upungufu wa damu na muonekano wa damu.