tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na utunzaji binafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Probiotiki
  5. Probiotic Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 34 min ago
1 maoni

Digestive Health Probiotics

Daynee
Chapa
Probiotiki na Prebiotiki
Aina
Prebiotic
Viungo Amilifu
Capsule
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Kopo
Furushi
inaboresha afya ya mmeng’enyo wa chakula Husaidia kusawazisha bakteria wazuri tumboni (gut flora). inapunguza matatizo ya tumbo Husaidia kwa gesi, kujaa tumbo, kuharisha, kufunga choo (constipation) na IBS. inaimarisha kinga ya mwili Asilimia kubwa ya kinga ya mwili hutoka tumboni; probiotic huisaidia kufanya kazi vizuri. inasaidia baada ya kutumia antibiotics Hurejesha bakteria wazuri waliouawa na antibiotics. inaboresha ufyonzwaji wa virutubisho Mwili hunyonya vizuri vitamini na madini kutoka kwenye chakula. inasaidia metabolism ya mafuta na sukari Ina mchango katika kudhibiti uzito na afya ya sukari mwilini. inaboresha Afya ya ngozi Inaweza kusaidia kupunguza chunusi, eczema, na mzio unaohusiana na matatizo ya tumbo. inaboresha Afya ya uke (kwa wanawake) Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara (yeast infection,U.T.I
TSh 60,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif