tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Kalsiamu
  5. Blood Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 15/05
2 maoni

D19 Bio-Calcium Liquid

+1
Wins Town
Chapa
Inaimarisha mifupa
Aina
Calcium, Prebiotic
Viungo Amilifu
Kioevu
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Kopo
Furushi
Bio-Calcium liquid Inasaidia Arya ya meno, mifupa na mfumo wa neva 1. Inaimarisha mifupa na kuzuia udhaifu wa mifupa (osteoporosis) • inatoa kalsiamu inayohitajika kujenga na kudumisha mifupa imara. • inasaidia wazee, wanawake baada ya hedhi (menopause), na watu wanaopata maumivu ya viungo. 2. Inaimarisha meno • inazuia kuoza kwa meno, kupungua nguvu za fizi, na kuboresha uimara wa meno kwa ujumla. 3. Inaimarisha misuli na viungo • Kalsiamu inasaidia misuli kufanya kazi vizuri, inapunguza mikazo au kuumwa kwa misuli 4. Inasaidia kazi za neva na ubongo • Inasaidia mawasiliano kati ya mishipa ya fahamu (nerve signals). • Inapunguza dalili za uchovu, ganzi au mishtuko midogo midogo (muscle cramps). 5. Inasaidia katika kuganda kwa damu (blood clotting 6. Muhimu kwa wajawazito na watoto
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif