tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na utunzaji binafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza vya Magnesiamu
  5. APS Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 29/10
2 maoni

Corti-Soothe Capsules

Chapa
Virutubisho vya Usaidizi wa Hali na Kihisia
Aina
Dondoo la Ashwagandha, Magnesiamu
Viungo Amilifu
Capsule
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Kopo
Furushi
Kirutubishi cha lishe chenye mchanganyiko wa viambato kama: • Magnesium,ashwagadha na L-theanin 1.inapunguza msongo wa mawazo na wasiwasi • Ashwagandha na L-Theanine husaidia kutuliza akili, kupunguza viwango vya homoni ya msongo), na kuongeza hali ya utulivu. 2. inaboresha usingizi • Viambato kama Valerian Root na Magnesium vinajulikana kusaidia mwili kupumzika na kusaidia kulala vizuri. 3. inaimarisha umakini na kumbukumbu • Phosphatidylserine husaidia katika kuongeza uwezo wa kufikiri, kumbukumbu, na umakini bila kuchoka kiakili. 4. inaongeza nguvu na ustahimilivu wa mwili. • Panax Ginseng ni maarufu kwa kuongeza nguvu za mwili na kupunguza uchovu wa mwili na akili. 5. inasawazisha hisia na kuboresha hali ya moyo 6. inadhibiti homoni ya cortisol • Viambato vyake vinalenga kusaidia mwili kushughulikia vizuri hali za msongo
TSh 60,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif