tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza Mfumo wa Kinga
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 11 yaliyopita
23 maoni

Cerebrain Tablets

+1
Rain
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Vidonge
Uundaji
Yote
Kikundi cha Umri
Kuimarisha kumbukumbu: Huondoa kabisa tatizo la kusahau mara kwa mara. Kuongeza mzunguko wa damu: Huwezesha damu na oksijeni kutiririka vizuri kwenye ubongo na moyo. Kusafisha mishipa ya damu: Inapunguza kiwango cha mafuta mabaya kwenye damu. Kuondoa maumivu ya kichwa: Inasaidia kutibu changamoto za kuumwa kichwa mara kwa mara. Lishe bora ya ubongo: Inaboresha ufikaji wa virutubisho muhimu kwenye seli za ubongo. Ulinzi wa mfumo wa fahamu: Inarekebisha na kuzuia uharibifu kwenye mfumo wa neva. Kinga ya magonjwa ya moyo: Inazuia hatari ya kuganda kwa damu kwenye mishipa. Kuboresha hisi: Inasaidia kuongeza ufanisi wa kufanya kazi kwa macho na masikio. Kupunguza msongo wa mawazo: Inatuliza akili na kuondoa uchovu wa kiakili kutokana na kazi nyingi.
TSh 83,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif