tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza vya damu
  5. General Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 27/05
1 maoni

Boresha Afya Moyo Na Argi +

+1
Forever Living
Chapa
Virutubisho vya Damu
Aina
L-Arginine, Tata/changamano ya vitamini nyingi, Changamano la Madini Mengi, Zinc Sulfate
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Cranberry
Ladha
Yote ya Asili, Haina kemikali
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Sanduku la Karatasi
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 06:00-20:00
Argi plus je wajua; changamoto za afya ya mzunguko wa damu zinachangia zaidi ya nusu ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukizwa? kwa sababu hii kutunza afya ya mzunguko wa damu ni moja ya njia kuu sana ya kukukinga na hizo changamoto am excited leo kukupa hii taarifa muhimu kuhusu *argi plus* ni moja ya bidhaa chache kuu sana kwenye kutunza afya yako. argi husaidia mishipa ya damu kutanuka na kuboresha msukumo wa damu vizuri mwilini na kwenye mishipa mikubwa na midogo, ambayo ni muhimu sana kwenye afya ya mwili wote in general. faida nyingine ni: => kutunza afya ya moyo na mzunguko wa damu => kuboresha uwiano wa cholesterol mwilini => kusaidia kuweka uwiano wa presha ya damu => kuboresha ufanisi wa tendo la ndoa => kuboresha kinga ya mwili => kujenga na kurecover misuli hivyo muhimu sana kwa wafanya mazoezi => inaboresha mifupa & tissue zote => umetaboli wa mafuta & sukari mwilini hivyo inafaa hata mwenye sukari => uzalishaji wa homoni za kupunguza kasi ya uzee.
Boresha Afya Moyo Na Argi +
TSh 216,000
19 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif