BITTLER MALON VIAMBATO VYA MSINGI: Natto freze-Dried powder, Red Yeast Rice Flour, Earth-worp protein powder, Kudzu Root Extract, Bittler malon Extract, Corn Whisker Flour, Mulberry Leaf Extract, Rice Flour, Magnesiumu Stearate.
Faida zake Huboresha afya ya kongosho na kurekebisha utoaji wa insulin, Kusaidia mmeng'enyo wa chakula na kudhibiti kuongezeka kwa sukari mwilini na ni msaada kwa wanaosumbuliwa na gesi. Kudhibiti Bp(shinikizo la Damu) kuondoa mafuta yanayoganda ndani ya mishipa ya Damu, kuzuia na kudhibiti hatari ya kiharusi na mshtuko wa Moyo. Huleta mnyumbuliko wa mishipa ya Damu na kuzuia kuvilia kwa Damu. Kuzuia kuharibika kwa mishipa ya Damu kunakosababishwa na Kisukari. Huwafaa watu wenye kiharusi na waliopooza. Huondoa sumu mwilini na kusaidia kupungua uzito. Hupunguza madhara ya uzito wa Damu. Hutibu athari za ulevi.