tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Kalsiamu
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 9 yaliyopita
1 maoni

Bio Calcium

+1
Other
Chapa
Virutubisho vya Mifupa, Pamoja na gegedu
Aina
Calcium
Viungo Amilifu
Gel laini
Uundaji
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Bio calcium liquid Hizi ni supplement za calcium zilizotengenezwa katika mfumo wa softgel ili iwe rahisi kunywa na kufyonzwa haraka mwilini Watu wanaoweza kutumia; Watoto wanaokua Wajawazito na wanaonyonyesha Wazee Watu wenye upungufu wa calcium Faida za Bio calcium liquid ni; Kuimarisha mifupa na meno Kusaidia ukuaji wa watoto Kuzuia mifupa kuwa dhaifu au kuvunjika kwa urahisi Kusaidia misuli kufanya kazi vizuri Kuimarisha mfumo wa neva pamoja na mapigo ya moyo Kupunguza hatari ya upungufu wa calcium mwilini Kopo mona lina supplement 100 Matumizi yake Asubuhi supplement 2 Jioni supplement 2
TSh 35,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif