tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza vya Chakula
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 2 zilizopita
2 maoni

Bidhaa Nzuri Ya Ini Lako

+1
Bf Suma
Chapa
Virutubisho vya Ini
Aina
Manjano
Viungo Amilifu
Capsule
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Nyingine
Ladha
Wakati wa Chakula
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
LIVER SHIELD – Ni Msaidizi wa Afya ya Ini Lako! Imetengenezwa na viambata mbalimbali ikiwemo pilipilimanga,manjano,mchunga nk . . Je, unatumia pombe mara kwa mara? . . Unatumia dawa kwa muda mrefu? Au unataka kulinda afya ya ini lako? . . Liver Shield ni food supplement iliyotengenezwa kusaidia afya ya ini na ustawi wa mwili . . Husaidia kupunguza athari za pombe, dawa na mzigo wa sumu ambazo mwili hukutana nazo kupitia tunachokunywa, kuvuta na kula kila siku Husaidia utokaji mzuri wa nyongo, hivyo kuwa msaada katika usagaji wa vyakula vyenye mafuta Ni msaada mzuri sana kwa watu wenye matatizo mbalimbali ya INI Husaidia afya ya INI kuendelea kuimarika na kufanya kazi zake vizuri Ni mlinzi mzuri sana kwa ajili ya afya ya INI lako lisidhurike dhidi ya pombe, sumu,dawa na vinywaji hatari tunavyokunywa kila siku
Bidhaa Nzuri Ya Ini LakoBidhaa Nzuri Ya Ini Lako
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif