tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza vya zinki
  5. Dume Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 iliyopita
1 maoni

Better Healings Zinc Minerals

+1
2
Applied Nutrition
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Antioxidant, Calcium Citrate, Camu Camu (Myrciaria Dubia), Fedha ya Colloidal, Chuma, Magnesium Glycinate, Phosphorus, Selenium, Zinc Citrate
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili, Haina kemikali, Pombe Bure, Kikaboni
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Sanduku la Karatasi
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
mikocheni
09:00-18:00
Baadhi ya dalili ambazo zitakusaidia kutambua kuwa una upungufu wa madini ya zinc ni pamoja na Ø Kupoteza hamu ya kula Ø Kujiskia vibaya na huna mood mara kwa mara Ø Kupungua kwa uwezo wa kutambua ladha ama harufu ya kitu MADINI YA ZINC HUSAIDIA 1) Kusawazisha kiwango cha sukari katika mwili 2) Kusaidia utengenezwaji wa protini kwenye mwili 3) Kusaidia kusapoti mfumo wa upumuaji 4) Kuongeza ufanyaji kazi wa seli za mwili 5) Kupunguza sumu mwilini na kusaidia mmengeyo wa chakula Upungufu wa zinc kwa wanaume huathiri uzalishaji wa testosterone, huwaweka wanaume kwenye mazingira hatarishi ya kupata saratani ya tezi dume, na huwasababishia ugumba. Upungufu wa zinc umehusishwa na kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Afya Ya Uzazi Ya Mwanamke: Kwa wanawake, zinc inahusika katika ukuuaji wa yai (oocyte).
Better Healings Zinc Minerals
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif