tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Glucosamine Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 4 yaliyopita
3 maoni

ArthroXtra Tablets

+1
Bf Suma
Chapa
Virutubisho vya Mifupa, Pamoja na gegedu
Aina
Vidonge
Uundaji
Yote
Kikundi cha Umri
Kuondoa maumivu ya viungo: Husaidia haraka kutuliza maumivu ya magoti, nyonga, mabega, kiuno na mgongo. Kuongeza uteute kwenye maungio: Huchochea uzalishaji wa majimaji ya asili (synovial fluid) yanayolainisha viungo. Kuzalisha na kukarabati gegedu: Ina viambata vya Glucosamine na Chondroitin vinavyounda upya gegedu (cartilage) zilizolika. Kuzuia mifupa kusagana: Huweka ulinzi imara unaozuia mifupa kukwaruzana wakati wa kutembea au kufanya kazi. Kurudisha urahisi wa kutembea: Huondoa kukaza kwa viungo na kuongeza kunyanduka (flexibility) na uhuru wa kusogea. Kudhibiti tatizo la Arthritis: Ni suluhisho zuri sana kwa wanaosumbuliwa na ugonjwa wa baridi yabisi na uchakavu wa mifupa. Kuimarisha mishipa ya viungo: Hukomaza kano (ligaments) na misuli inayoshikilia mifupa ili kuleta uimara wa mwili.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif