Tata/changamano ya vitamini nyingi, Amino Asidi, Changamano la Madini Mengi, L-Arginine
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Berry
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Kabla ya Mazoezi
Wakati wa kuchukua
Mfuko au mkoba
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Argi+ imetengenezwa na matunda mengi sana ikiwemo berries, na inasifika duniani mpaka sasa kuwa bidhaa bora yenye l-arginine kwa wingi ambayo ni amino acids muhimu kwa ajili ya kuyeyusha mafuta hatari yanayoganda kwenye mishipa ya damu(cholesterol), hii cholesterol ikiwa kwenye mishipa huleta tatizo la shinikizo la juu la damu kwasababu hufanya damu isipite kwa usahihi kwa kiwango sawa, cholesterol huongezeka kwa kuongezeka kwa unene na pia sukari mwilini, sasa tumia argi+ itakuondolea cholesterol na pia kama imekufanya unashindwa kupumua itakufanya uweze kurelax ukiwa unahema. karibu sana