Vitamini D, Tata/changamano ya vitamini nyingi, Antioxidant, L-Arginine
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Berry
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mazoezi
Wakati wa kuchukua
Fimbo
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Argi+ ina l-arginine nyingi sana ndani yake, hizo ni amino acids muhimu kwa ajili ya kutengeneza compound muhimu sana mwilini iitwayo nitric oxide, hii nitric oxide ndo hufanya damu kufika kila sehemu kwa wakati kwa kufufua mishipa midogo iliyokuwa imekufa au kuziba, ni nzuri sana kwa kuyeyusha mafuta yanayojirundika ndani ya mishipa ambayo huleta tatizo la cholesterol na presha ya juu, nitric oxide huongeza kiwango cha oxygen kinachofika kwenye misuli kwa ajili ya kujenga tissue za misuli na kufanya misuli kukuwa vzr na imara zaidi, uwepo wa vitamin c na D huongeza uwezo wa viondosha sumu mwilini lakini pia kubiresha kinga ya mwili na mifupa imara, ni nzuri sana kujikinga na matatizo ya moyo ukiwa na bidhaa hii, tunapatikana kwa namba zetu hapo juu whatsapp na kwa kupiga kawaida.