tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Virutubisho vya Afya ya Ubongo
  5. Brain Vitamini na virutubisho
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 iliyopita
8 maoni

Alpha Brain Capsule

+1
Other
Chapa
Nyingine
Aina
Capsule
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Alpha Brain Capsule Hizi supplement ni nzuri kwa ajili ya afya ya ubongo zinasaidia kuongeza umakini pamoja na kumbukumbu Kazi zake; Inasaidia kuongeza umakini na focus wakati wa kazi au masomo Insaidia kuboresha kumbukumbu na uwezo wa kukumbuka vitu kwa haraka Inasaidia akili kuchakata vitu kwa ufanisi zaidi Inasaidia kuongeza concentration kwa muda mrefu bila kuchoka haraka Inasaidia kuongeza productivity katika shughuli za kila siku Kusaidia ubongo kufanya kazi vizuri wakati wa stress na uchovu Kopo moja lina supplement 60 Matumizi yake Unatumia supplement 2 kwa siku
TSh 30,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif