tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Vitamini A
  5. Safi Vitamini na virutubisho
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 3 yaliyopita
24 maoni

Aloe Activator

+1
Forever Living
Chapa
Virutubisho vya Urembo
Aina
Aloe Vera, Vitamini A, Vitamini C, Vitamini E
Viungo Amilifu
Kioevu
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Nyingine
Ladha
Yote ya Asili, Bila Allergen, Antibacterial, Haina kemikali, Bila gluten
Vipengele
Kabla ya Mazoezi
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Forever Aloe Activator ni bidhaa ya kipekee na yenye matumizi mengi sana (multipurpose). Ina zaidi ya 98% ya Aloe Vera gel safi, ikiwa imetengenezwa kwa umakini ili kuwa tulivu na rafiki hata kwa maeneo laini ya ngozi kama vile karibu na macho. Sifa Kuu na Faida Kisafishaji na Kitulizaji (Cleansing & Soothing): Inafanya kazi nzuri ya kutuliza ngozi yenye miwasho, uwekundu, au iliyochoka Ina Vitamin A, C, na E: Virutubisho hivi asilia kutoka kwenye Aloe husaidia kulinda ngozi na kuifanya ionekane changu. Hufungua Vinyweleo: Inasaidia kusafisha uchafu uliojificha na kuitayarisha ngozi kufyonza bidhaa nyingine (kama serum au moisturizer) kwa ufanisi zaidi. Haina Harufu wala Rangi ya Bandia: Hii inaifanya kuwa salama kwa watu wenye ngozi nyeti sana (sensitive skin).
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif