tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Vifaa na zana za kibiashara
  3. Vifaa vya rejareja na duka
  4. Vifaa vya rejareja na duka
Dar es Salaam, Kinondoni, 21/05
14 maoni

Mzani Wa Kupimia Kuku Uzito

+1
4
Chapa Mpya
Hali
Tunauza digital bean balance. Mzani wa kisasa Kwa ajili ya Kupimia uzito wa kuku pia unaweza Kupimia dawa/vitamin/chakula nk ✓Unapima kilo 0 Hadi 10 ✓Unatumia betri ndogo ✓hudumu sana na chaji *Faida za Kupima kuku uzito 1. Kujua kama wanakua vizuri. 2. Kujua kama wamefikisha uzito unaohitajika kuwauza. 3. Kama muda wao wa kutaga umefika na hawajaanza kutaga, unawapima kujua kama uzito wao umetosha kwa kuanza kutaga. 4. Kujua mapema uzito wa mitetea unapozidi ili kuwarudisha kwenye uzito unaofaa, kwani wakinenepa sana hawatataga vizuri. 5. Kujua mapema uzito wa kuku unapopungua ili kujua tatizo. Huenda wanaumwa, au hawashibi chakula au chakula wanachopewa hakina virutubisho vya kutosha.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif