Buluu, Kijani Kibichi, Nyekundu, Urujuani, Nyeupe, Nyingine
Rangi
Rangi Inabadilika Hatua kwa hatua, Hali ya Flash
Vipengele
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
230W Moving Head Beam Light yenye mwanga mkali na rangi mbalimbali. Inafaa kwa harusi, DJ, kanisa, club, matamasha na event za aina zote. Ubora wa hali ya juu, mizunguko ya kiotomatiki na matumizi rahisi.