tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Utunzaji wa Uso
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 2 zilizopita
11 maoni

Splina Soap Ni Kiboko Ya Chunusi Na Madoa

+1
1
Unisex
Jinsia
Utunzaji wa Jua
Aina
Skin Beauty
Chapa
Nyingine
Eneo la Ngozi
Aina zote za ngozi
Aina ya Ngozi
Asili
Uundaji
Nyingine
Ufungaji
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Msasani
NIPIGIE SIMU, NITUMIE SMS AU NITAFUTE WHATSAPP ILI TUWASILIANE KWA UKARIBU ZAIDI USIOGOPE KUNITAFUTA
Open
• Jumatatu - Jumapili, 00:00-23:59
KAZI ZA SPLINA CHLOROPHYLL SOAP ~Kurudisha ngozi na kuwa katika ubora wake wa asili hasa kwa wale walioathirika na vipodozi vya kemikali. ~Inaondoa mafuta kwenye ngozi na kufanya ngozi kuwa kavu na safi. ~Inaondoa mabaka,upele ~Inaondoa sumu zote katika ngozi ~Huondoa mafuta yaliyoganda kwenye ngozi na kufanya ngozi kupitisha hewa vizuri. ~Inatibu matatizo yote yatokanayo na aleji na pumu ya ngozi. ~Inaondoa chunusi na kuirudisha ngozi katika mng'ao wa asili. ~Inatibu fungus za aina zote hata zile za kwenye vidole vya miguuni. ~Inatibu miwasho,harara na kuponya vidonda. Ni nzuri kwa wanawake,mwanaume,watoto, vijana na wazee pia. NOTE: Sabuni hii haijatengenezwa na kemikali,hivyo ni vema unapoitumia Sabuni hii usipake lotion zenye kemikali. Wasiliana nami ili kujipatia Splina Chiorophyll Soap kwa 35 000 Tsh tu.
TSh 35,000
10 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif