tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Utunzaji wa Uso
  4. Seramu
  5. Collagen Seramu
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
1 maoni

Rudisha Ngozi Yako Kwa Nzuri Na Yenye Mvuto

+1
Ya Wanaume
Jinsia
Zana za Utunzaji wa Ngozi
Aina
Forever Living
Chapa
Uso
Eneo la Ngozi
Ukubwa wa Kusafiri
Ukubwa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 06:00-20:00
The Best Antiaging Combo Kama una lengo la kuwa na Ngozi ya ujana zaidi; ng'aavu na isiyo na mikunjo hii combo ni nzuri sana ya kuanzia! Infinite Firming Serum na Moisturizer yake! FAIDA ZAKE: *Zina Aloe kwa wingi sana ambayo inasaidia zinyonywe haraka na kuipa unyevu ngozi yako *Zinasafisha fine lines;wrinkles na mikunjo kwenye ngozi yako *Zinaboresha uwezo wa seli mpya za ngozi kutengenezwa hivyo kukupa youthful look(speed up regeneration) *Zinaboresha utengenezaji wa Collagen kwenye ngozi yako *Zinafanya ngozi iwe firm na smooth zaidi *Zinatunza ngozi dhidi ya free radicals ambazo zinaongeza kuzeeka kwa ngozi(Ina very strong antioxidant) *Zinatunza mno na kuvuta unyevu kwenye ngozi Inakupa ngozi ng'aavu na ya ujana zaidi Pata ANTIAGING COMBO yako leo kwa faida ya ngozi yako
Rudisha Ngozi Yako Kwa Nzuri Na Yenye Mvuto
TSh 485,000
19 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif