Reception Ya Sura Yako Inaonekanaje Yenye Soko Au Laa
Dar es Salaam, Kinondoni, 21/05
9 maoni
Reception Ya Sura Yako Inaonekanaje Yenye Soko Au Laa
+1
Ya Wanaume
Jinsia
Seramu ya uso na mafuta
Aina
Forever Living
Chapa
Aina zote za ngozi
Aina ya Ngozi
30s+
Masafa ya Umri
Kupambana na Kuzeeka
Wasiwasi wa Ngozi
Asili, Safi
Uundaji
Zilizopo
Ufungaji
Ukubwa wa Sampuli
Ukubwa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 06:00-20:00
Hii ni tube ambayo inasafisha ngozi na kuondoa mabaka mabaka, tango tango, chunusi, rashes, itakuponyesha vidonda vya kwenye ngozi, inaondoa makunyanzi ya uzee(ant ageing) pia hufanya ngozi kuwa soft na kuwa yenye rangi moja ni nzuri sabu imetengenezwa kwa kutumia mimea asilia pia unapotumia tube hii huwa tunashauri utumie na aloe vela gel kwaajili ya kusafisha mwili kwa ndani na kuongeza kinga ya mwili itakayo enda kuleta matokeo mazuri hadi kwenye ngozi yako kwasababu -itaondoa sumu mwilini -itakusaidia kwenye kufyonza virutubisho mwilini -itakusaidia kwenye mmeng'enyo wa chakula na kukupa faida zingine nyingi