tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Utunzaji wa Uso
  4. Pilingi ya Kemikali
  5. Oil Utunzaji wa Uso
Dar es Salaam, Kinondoni, 25/05
1 maoni

Extra Peeling Oil

+1
Unisex
Jinsia
Mafuta ya Mwili
Aina
3M
Chapa
Asili
Uundaji
Chupa ya Plastiki
Ufungaji
Nyingine
Ukubwa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
GXW4+X3 Nkunjila, Tanzania
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-20:00
STRONG EXTRA PEELING OIL Hii unaweza kutumia hadi usoni Inaondoa discoloration kwa kubandua ngozi yenye discoloration inafanya kazi kwa kuondoa gamba la juu la ngozi lenye seli zilizokufa ( epidermal layer) Unaitumia kwa siku 5 tu ... baada ya hapo unaiacha ifanye kazi Unaipaka popote penye tatizo ata km hamna tatizo yn unataka kua laini tu.pakibanduka ngozi nakua laini kama mtoto Mfano unamadoa miguuni ukiipaka sehem yenye madoa ngoz inabanduka panabaki smooth ndan ya wiki au wiki mbili tu unasahau kam ulikua na madoa Kuna wale cream zinagoma kufanya kazi... hii inafanya exfoliation kwa ndani zaidi... inaondoa gamba la juu la ngozi lililojaa seli zilizokufa yani Gamba la juu la ngozi lisilosikia mafuta Unaipaka sehem yeyote ya mwili unayotaka kuibandua ... kwenye sugu... viwiko... katikati ya mapaja .kwenye makalio... magotini n.k
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif