tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Utunzaji wa Uso
  4. Vinyago vya Uso
  5. Tea Tree Utunzaji wa Uso
Dar es Salaam, Kinondoni, 30/05
11 maoni

Chunusi Na Ngozi Ya Mafuta Au Combination

+1
Unisex
Jinsia
Face Creams & Gels
Aina
Forever Living
Chapa
Mchanganyiko
Aina ya Ngozi
Teens
Masafa ya Umri
Matibabu ya chunusi
Wasiwasi wa Ngozi
Asili
Uundaji
Zilizopo
Ufungaji
Ukubwa wa Kusafiri
Ukubwa
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Kinondoni
1 mchana
TSh 5,000
Nchini kote
1-2 mchana
TSh 10,000 - 15,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
SONYA SKIN CARE SYSTEM, ni package ya ngozi iliyo na bidhaa 4 ndani yake , hii imetengenezwa kwa ajili ya matumizi ya siku kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta sana au combination skin, ina CLEANSER, hii ni ya kuoshea uso na utatumia mbadala wa sabuni, inaondoa mafuta ndani ya ngozi na uchafu ,ina aloe vera pia kwa wingi, inaondoa chunusi na harara kwa haraka chini ya siku 5. MOISTURIZER, hii inaongeza unyevu kwenye ngozi na kiruhusu ngozi mpya ijitengeneze kwenye uso wako kuondoa mabaki ya chunusi uliyotumbua. ILLUMINATING GEL, Hii ina aloe lkn pia na ingridients za tea tree kwa ajili ya kuweka glow kwenye ngozi na kifanya ngozi inawiri. MASK, Hii unapaka usiku ukiwa unalala na inazuia ngozi kujikunja kunja asubuhi wakati wa kuamka, uzuri wako wa ngozi utaonekana hata ukilala.
TSh 260,000

TSh 257,000

≥ vipande 2

TSh 250,000

≥ vipande 10
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif