tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Utunzaji wa Uso
  4. Bora Utunzaji wa Uso
Dar es Salaam, Kinondoni, 30/05
6 maoni

Aloe Liquid Soap, Muhimu Kwa Ngozi Zenye Chunusi

+1
Unisex
Jinsia
Zana za Utunzaji wa Ngozi
Aina
Forever Living
Chapa
Mwili
Eneo la Ngozi
Ukubwa wa Sampuli
Ukubwa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Hello, je umekuwa ukijaribu kuibalance ngozi yako isiwe na miwasho, harara au mba, tatizo linaanza kwenye vitu unavyotumia, hususan sabuni nyingi zinaongeza mafuta na phosphorus kwenye ngozi, hivyo utajikuta unajarubu kuondoa chunusi au harara lakini hazitoki, sasa jaribu kutumia sabuni zenye kutengeneza unyevu kwa wingi na pia zisizokuwa na mafuta, aloe liquid soap imetengenezwa na aloe vera kwa wingi hivyo kuifanya iwe na nguvu ya unyevu muda wote na pia haina mafuta ,ina vitamin c nyingi mno hivyo kuwa bora hata ikibaki kwenye ngozi ya uso.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif