tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Utunzaji wa Uso
Dar es Salaam, Kinondoni, 16/05
2 maoni

After Shave Kulinda Vipele Vya Ndevu

+1
1
Ya Wanaume
Jinsia
Zana za Utunzaji wa Ngozi
Aina
Forever Living
Chapa
Mwili
Eneo la Ngozi
Ukubwa wa Sampuli
Ukubwa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 06:00-20:00
Hellow Habari yako? Unatunza Vipi ngozi ya kidevu na ndevu zako? Let me introduce this amazing product kwako *’Gentleman’s Pride’* ni bidhaa muhimu sana kwako, unaitumia baada ya kushave for a very smooth looking and silky feeling skin;* inasaidia *kuzuia na kuondoa vipele baada ya kushave,* ina harufu nzuri mno! *Inaipa ngozi unyevu mzuri sana na harufu yake si mchezo! * Nzuri sana! *Haikaushi ngozi* (haina alcohol), na kwasababu ina Aloe Kwa wingi Hata kama umejikata Kwa kushave *ngozi inapona haraka!* Uzuri wake mkubwa pia ni jinsi ambavyo *inakaa muda mrefu* kabla haijaisha. Very economical! Karibu sana nikuelekeze unaipataje.
TSh 54,000
19 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif