tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya CCTV
  5. Okam Usalama na Ufuatiliaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
1 maoni

Wireless Solar Camera With 1080p Resolution

+1
Kamera ya CCTV
Aina
PTZ
Chapa
Wireless
Muunganisho
Nje ya mlango
Matumizi
PTZ
Sababu ya Fomu ya Kamera
12MP
Azimio la Video
360degrees
Kuangalia Angle
360degrees
Pembe ya Mzunguko
Utambuzi wa Mwendo, Nuru ya Usiku, Maono ya Usiku, Kurekodi Sauti, Sauti ya Njia Mbili, Inazuia maji
Vipengele vya Kamera
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚 | Showrooms: Mwenge, Msasani, Kariakoo
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Okam solar 4g three view ptz camera camera hii ya kisasa inakuwezesha kufuatilia maeneo yako live kupitia simu (android/ios) au laptop. inafanya kazi kwa kutumia sim card na nishati ya jua, hivyo haina haja ya umeme. ni kamera imara yenye uwezo wa kuona pande tatu kwa wakati mmoja (three view), kuzunguka nyuzi 360, na kuonyesha picha zenye ubora wa 1080p. inafaa kwa nyumbani, shambani, ofisini au kwenye biashara. pia unaweza kusikiliza na kuongea kupitia simu yako popote ulipo. inatumia solar power & sim card ina night vision (huona gizani) ina motion tracking & push notification ina wide 360° angle view ina pan & tilt mode (inazunguka 360°) ina ddns function ina two-way audio (kuongea na kusikiliza) inatumia memory card (storage) bei: tsh 255,000 tunafanya delivery dar es salaam na tunatuma mikoani.
TSh 255,000
Bei isiyobadilika
37 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif