tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya CCTV
  5. PTZ Kamera ya CCTV
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 iliyopita
8 maoni

Three Lens 4g PTZ Camera Iko Full Na Solar Yake

+1
Kamera ya CCTV
Aina
PTZ
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Three lens 4g ptz camera available camera hii unaweza kuunganisha na simu yako ya mkononi na kupata matukio live ukiwa nyumbani ofisini shambani na kwenye biashara yako kwa download app kwenye simu (android ,ios) au laptop yako camera hizi zinatumia sim card (line ya simu ) pia hii inatumia solar na inakuja full na solar yake ili kufanya kazi ni nzuri sana i akupa uwezo wa kuona angle tatu kwa wakati mmoja, ina uwezo wa 1080 picture resolution na ni camera ambayo inaweza kuzunguka angle 360(tilt) ina night vision ina motion tracking/detection inatumia memory card ina alarm/push notification 360 wide angle ina pan / tilt mode (inazunguka) ddns two way audio sim card slot
Three Lens 4g PTZ Camera Iko Full Na Solar Yake
TSh 320,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif