tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kalamu ya Spy
Dar es Salaam, Kinondoni, 26/05
7 maoni

Spy Pen Camera Ina Support Ya 128gb

+1
Kalamu ya Kupeleleza
Aina
PTZ
Chapa
Wireless
Muunganisho
Chapa Mpya
Hali
Spy pen camera ni peni kabisa ambayo unaweza andikia lakini pia inacamera ndogo sana isiyo onekana kiurahisi peni hii ina betri ambayo ukiiwasha inaweza kurekodi kwa masaa mawili na dakika 50 tofauti na spy pen camera nyingine ambazo hurekodi kwa muda wa dakika 60 tu bila kuwa kwenye umeme na pia spy pen camera hii inasupport kuweka mbaka memory yenye ukubwa wa 128GB karibu ukiagiza kwetu kama uko dar tunakuretea mbaka ulipo ndio utalipia gharama za mzigo
TSh 100,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif