Solar Security Camera Zinapatikana Bei Poa Ni 4g Lenzi 3
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
16 maoni
Solar Security Camera Zinapatikana Bei Poa Ni 4g Lenzi 3
+1
Kamera ya CCTV
Aina
PTZ
Chapa
Wireless
Muunganisho
12MP
Azimio la Video
360degrees
Kuangalia Angle
360degrees
Pembe ya Mzunguko
Kuza inayoweza kubadilishwa, Ufuatiliaji wa Mwendo otomatiki, Kamera ya Fisheye, Arifa ya Haraka, Utambuzi wa Mwendo, Nuru ya Usiku, Maono ya Usiku, Kurekodi Sauti, Sauti ya Njia Mbili, Inazuia maji
4G Solar Smart Camera Lenzi 3
Smart camera ya kisasa inayotumia solar yenye lenzi tatu
Inatumia line za 4G kama Halotel Vodacom Tigo Airtel au YAS
Inakuwezesha kufuatilia kupitia simu TV au kompyuta
Inarekodi usiku kwa rangi na inahifadhi video kwa siku 3 bure kwa njia ya cloud
Betri kubwa ya 3.2V 38000mAh
Kamera zina uwezo wa 12MP kila moja
Muonekano wa nyuzi 360 kwa ufuatiliaji mpana
Muda wa kuchaji ni masaa 4 hadi 6
Ina dhamana ya miaka miwili