Arifa ya Haraka, Utambuzi wa Mwendo, Nuru ya Usiku, Maono ya Usiku, Kurekodi Sauti, Sauti ya Njia Mbili, Inazuia maji
Vipengele vya Kamera
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Solar Surveillance PTZ Camera yenye 12MP HD inakupa ulinzi wa hali ya juu usiku na mchana bila haja ya umeme. Inafanya kazi kwa kutumia solar panel ya 10W na betri kubwa ya 10800mAh, ikikupa ufuatiliaji wa kudumu hata wakati wa giza. Kamera hii ina 4G/5G SIM card kwa mtandao wa moja kwa moja, motion detection, night vision ya IR/Colour, na uwezo wa kurekodi video kwa ubora wa juu (H.265). Ina angle ya 360° rotation, two-way audio, na waterproof IP66 kwa matumizi ya nje. Inafaa kwa nyumba, ofisi, duka au shamba.
Bei: TSh 234,355
Mawasiliano
Tunafanya delivery nchi nzima.