Utambuzi wa Mwendo, Nuru ya Usiku, Maono ya Usiku, Kurekodi Sauti, Sauti ya Njia Mbili
Vipengele vya Kamera
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Camera inayojificha kama bulb ya kawaida, 1080P Full HD, lenzi mbili za kuona mwanga mpana, night vision,
na two-way audio.
Zungusha camera kupitia app,
WiFi 2.4G au umbali wa hadi 4m.
Hifadhi Cloud au memory card hadi 128GB.
Rahisi kufunga kwenye soketi ya bulb (E27).
Bora kwa nyumba, ofisi au duka.