Utambuzi wa Mwendo, Nuru ya Usiku, Maono ya Usiku, Kurekodi Sauti, Sauti ya Njia Mbili, Inazuia maji
Vipengele vya Kamera
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Okam solar 4g three view ptz camera
camera hii ya kisasa inakuwezesha kufuatilia maeneo yako live kupitia simu (android/ios) au laptop. inafanya kazi kwa kutumia sim card na nishati ya jua, hivyo haina haja ya umeme.
ni kamera imara yenye uwezo wa kuona pande tatu kwa wakati mmoja (three view), kuzunguka nyuzi 360, na kuonyesha picha zenye ubora wa 1080p.
inafaa kwa nyumbani, shambani, ofisini au kwenye biashara. pia unaweza kusikiliza na kuongea kupitia simu yako popote ulipo.
inatumia solar power & sim card
ina night vision (huona gizani)
ina motion tracking & push notification
ina wide 360° angle view
ina pan & tilt mode (inazunguka 360°)
ina ddns function
ina two-way audio (kuongea na kusikiliza)
inatumia memory card (storage)
bei: tsh 255,000
tunafanya delivery dar es salaam na tunatuma mikoani.