tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya IP
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
31 maoni

Mini V380 Pro Line Smart Security Camera

+1
1
Kamera ya IP
Aina
Other
Chapa
Yenye waya au isiyo na waya
Muunganisho
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Kinondoni
1 mchana
TSh 2,000 - 10,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni shamba
Contact us Tuta Ku direct Tupo opposite kinondoni shamba police office
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:30-18:30
Camera hii inaingiza line kama simu ya kawaida kupitia line hiyo Camera hii haihitaji uwe na wifi Full High Definition HD clear video Unauwezo wakuconnect na simu na ukaangalia matukio yote kupitia simu yako ya mkononi muda wowote, popote utapokuepo Unaweza ukageuza kwenye angle zote 360 unazohtaji wewe kuona, mzunguko huo utacontrol kupitia app na kuona kila angle Two way audio, ina mic na speaker yakuwasiliana pande zote mbili unaeza ukaongea nao kwa simu kupitia camera hiyo Inaona mpaka usiku clear kabisa Unaweza ukaweka memorycard na kukurekodia matukio yote Motion sensor setting, itadetect mtu anapopita na kutuma notification kwamba kuna mtu amepita hapo hivo kukupa nafas yakuangalia Rahisi kutumika na unaweka sehemu yeyote ile kama taa ya mwanga Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja.
Mini V380 Pro Line Smart Security CameraMini V380 Pro Line Smart Security CameraMini V380 Pro Line Smart Security CameraMini V380 Pro Line Smart Security Camera
TSh 150,000
Bei isiyobadilika
30 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif