tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Bora Usalama na Ufuatiliaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
7 maoni

Electrical Security Fence

+1
Nyingine
Aina
Nemtek
Chapa
Yenye waya
Muunganisho
Chapa Mpya
Hali
Tunatoa huduma za electric fence kwa ubora na kwa gharama nafuu sana. Electric Fence ni uzio unaofungwa umeme ambao utakuwezesha kuimarisha ulinzi na usalama wa nyumbani. Fence hii ya umeme inaunganisha na mashine ambayo hutoa umeme utakao kuwa unazunguka hivyo kuweza kumpiga shoti muhalifu yeyote yule atakayetaka kuruka ukuta wako kipindi amegusa hapo. Huduma hii pia inakuja na king’ora ambacho kinafungwa katika mzunguko mzima hivyo kipindi mtu huyo amegusa tu fence basi atapigwa shoti huku king’ora kikilia kwa nguvu kuashiria kuwa kuna tatizo limetokea. Tunavyo vifaa bora na imara, pia tunao mafundi wenye uweledi pamoja na uzoefu wa installation ya electric fence. Gharama zetu ni 23,000/= kwa mita moja ya fence yako. PACKAGE YETU INAJUMUISHA VITU VIFUATAVYO : ◉ Galvanized/Alminium Cable ◉ HT Cable ◉ Insulators ◉ Sire
Electrical Security Fence
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif