tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
Dar es Salaam, Kinondoni, 15/05
5 maoni

D3 Gate Motor

+1
Centurion
Chapa
D3
Aina
Yenye waya
Muunganisho
Chapa Mpya
Hali
SULUHISHO LA KUKAA MUDA MREFU UKISUBIRIA KUFUNGULIWA GATE LIMEPATIKANA Gate motor machine inazo remotes ambazo zitakusaidia kufunga na kufungua gate lako. Pia unaweza kutumia simu yako ya mkononi kufunga na kufungua gate lako. Remotes za gate motor zinaweza kutumika kwa umbalia wa 100m. Kutokana na kuwa na gate motor kutakuondolea usumbufu wa kukaa getini muda mrefu huku ukisubiria kufunguliwa geti lako. Gate motor machine inakupa pia nafasi ya kuongeza remotes zaidi ya kumi ili kuhakikiasha hupotezi muda. Gate motor pia ina battery ambayo inatunza chaji kwa muda wa massa 24 hivyo hata umeme ukikatika basi utaendelea kutumia gate motor hiyo bila tatizo lolote. tutakufungia gate motor kwa ustadi mkubwa pamoja na kukupa elimu zaidi jinsi ya kuitunza na kutumia gate motor hiyo. Tupigie071XXXXXXX
TSh 1,450,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif