tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya CCTV
  5. Hikvision Kamera ya CCTV
Dar es Salaam, Kinondoni, 08/06
13 maoni

CCTV Camera

+1
1
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Mbezi
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Cctv camera royal security sutions inakushauri kuimarisha ulinzi wa eneo lako kwa kufunga mifumo imara ya uangalizi wa cctv camera . unaweza kufunga nyumbani , ofisini, shule , hospitali, kiwanda , eneo la mradi na godauni . tuna camera zenye uwezo mkubwa wa kukupa picha angavu mchana na usiku . camera zina uwezo mkubwa wa kutambua kila kitu pamoja na namba za magari kwa usahihi pamoja na sura ya mhusika . pia utakuwa na uwezo wa kuangalia camera zako ukiwa sehemu yoyote duniani kwa kutumia simu yako ya mkononi . tuna tumia bidhaa zinazoaminiwa duniani kote aina ya hikvision . karibu tkufanyie kazi bora na safi kwenye eneo lako . pia tunauza na kusambaza vifaa vyote vya mifumo ya cctv camera kwa bei nafuu kabisa tupo dar es salaam /kariakoo
CCTV Camera
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif