tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya CCTV
  5. Bora Usalama na Ufuatiliaji
Dar es Salaam, Kinondoni, 05/06
7 maoni

CCTV Bulb Camera Security Camera Bora Ya Mwaka

+1
Kamera ya CCTV
Aina
PTZ
Chapa
Wireless
Muunganisho
Chapa Mpya
Hali
Ni camera bora sana ambayo unaweza install app yake kwenye simu na ukaona matukio yote live hata ukiwa mbali pia inasehemu ya kuweka memory kwaajiri ya kurecord matukio pia camera hii inazunguka 360° ambayo itakufanya uweze ona pande zote pia ina sensor kwaajili ya kudetect motion ya mtu na kuzunguka kufuata uelekeo wake camera hii inakuja pia na karatasi ya maelekezo ambayo itakupa urahisi hata wa kuiseti wewe mwenyewe tu
TSh 45,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif