Ufuatiliaji wa Mwendo otomatiki, Kamera ya Fisheye, Arifa ya Haraka, Utambuzi wa Mwendo, Nuru ya Usiku, Maono ya Usiku, Kurekodi Sauti, Sauti ya Njia Mbili, Inazuia maji
Camera ya Solar lenzi 2 (Dual Lens)
Inafanya kazi bila umeme wala Wi-Fi
Inatumia line zote za 4G
Vodacom, Yas, Airtel, Halotel
Ina alarm, sensor ya mwendo, speaker na mic
Inarekodi usiku na mchana (HD Night Vision)
Inazunguka (PTZ),
waterproof na rahisi kufunga
Inafaa kwa mashamba, site, nyumba, biashara n.k.
Bei: TSh 219,999
Simu:
Tunatuma mikoani