tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya CCTV
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 iliyopita
3 maoni

Bulb CCTV Security Camera Usiku Inawaka Kama Bulb

+1
Kamera ya CCTV
Aina
Cctv camera
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Cctv bulb camera usiku inawaka kama bulb camera hii ni nzuri sana unauwezo wa kuunganisha na simu kwa kudownload app yake iliyo play store ukaona matukio yote live ukiwa kazini nyumbani au umesafiri uko mbali na eneo usika pia inasehemu ya kuweka memory card kwaajili ya kuhifadhi taarifa itakazo kuwa inarecord
TSh 75,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif