tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Usalama na Ufuatiliaji
  4. Kamera ya CCTV
Dar es Salaam, Kinondoni, 26/05
3 maoni

Bulb CCTV Camera, Unaona Kupitia Simu

+1
Kamera ya CCTV
Aina
Bulb camera
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Cctv Bulb camera ni camera ambayo unauwezo wa kuconnect na simu kisha ukaona matukio yote kupitia simu yako hata ukiwa mbali camera hii kwa sababu ina zunguka pande zote yaani 360° inatumia wi-fi pia inasehemu ya memory ambayo hutumika kuhifadhi taarifa zite za matukio pia iko na karatasi ya maelekezo jinsi ya kuiseti na kudownload app yake kwenye simu ni rahisi sana. Bidhaa iko vzr sana inafaa kwa matumizi yote nyumbani ofisini na n.k kulinda mali zako na uwapendao ni jukumu lako karibu tukuhudumie Tunatoa huduma ya deriver
TSh 65,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif