tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vichapishaji na Scanner
  4. Mashine ya Kunakili
  5. Minolta Mashine ya Kunakili
Dar es Salaam, Kinondoni, 26/05
1 maoni

Conica Minolta Bizhub C364e

+1
1
Mashine ya Photocopier
Aina
Minolta
Chapa
Bizhub C364e
Mfano
Laser
Teknolojia ya Uchapishaji
A3 (297 x 420 mm), A4 (210 x 297 mm), A5 (148 x 210 mm)
Ukubwa wa Karatasi Unaoungwa mkono
Nyeusi/Nyeupe
Rangi
USB, Wi-Fi, Nyingine
Muunganisho
Kutumika
Hali
Mashine n nzuri inapiga kazi kubwa kwa muda mfupi,ina print page 64 kwa dakika,inascan page 64 kwa dakika,inacopy page 64 kwa dakika,inaprint kwa simu,inageuza karatasi( 2 sided) ina Adf feeder, ina tray 3 pamoja na by pass,ina usb port,ethernet port na wifi,ina print karatasi ngumu aina zote,ina print calender,ina print passport size kwa wale watu wa graphics hii ndo mashine yenu.wino wake kuanzia 100k.Tunafunga box bure,Mafundi wapo wenye weredi na kazi, usafiri bure ndani ya Dar es salaam,wa mikoani tunapeleka bure mpaka kwenye cargo,installation bure hata ukiwa mkoani,mashine zote zina warranty.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif