Eneo la nyumba yako sio vizuri likiwa giza kisa tu umeme umekatika usiku au bado ujaweka taa za nje na kama umeweka basi umeweka za umeme tunarudi palepale giza sio salama kwenye nyumba yako sasa taa hio kuu hapo ni taa nzuri sana inamwanga sana na unaweza kuizungusha kwa kutumia rimont yake taa hii kama mtu atasogea kwenye eneo la nyumba yako basi mwanga unaongezeaka mara 2 ya mwanzo pia taa inatumia nishati ya jua yani sola kwaiyo inajicharge kwanzia asubuhi na kujiwasha jioni ivyo agiza taa zako za kutosha zipo za kutosha usikose kuagiza mikoani tunatuma