Tumia Leo Taa Ya Solar 50w Yenye Betri Kali Na Remote
1/2
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
22 maoni
Tumia Leo Taa Ya Solar 50w Yenye Betri Kali Na Remote
Other
Chapa
Taa za Biashara
Aina
Chapa Mpya
Hali
Taa za Mtaa za Jua
Aina ndogo
50watts
Nguvu nyepesi
LED
Chanzo cha Mwanga
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Taa ya Solar yenye Paneli ya 6V/6W (Polycrystalline Silicon)
Taa bora ya kisasa yenye uwezo wa kujiwasha usiku na kuzima mchana. Inatumia betri ya Lithium Iron Phosphate (3.2V / 5AH) yenye muda mrefu wa matumizi zaidi ya mizunguko 1500 ya chaji na utumiaji.
Muda wa kuchaji: Saa 4–6
Muda wa kuangaza: Saa 12–15 mfululizo
Hudumu hata siku 1–2 wakati wa mawingu
Ina remote control yenye teknolojia ya kisasa
Urefu wa kufunga: Mita 3
Paneli bora ya 6V/6W yenye nguvu kubwa ya kuchaji
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, biashara, shamba, banda, gereji, na hata barabarani.
Imeundwa kwa vifaa imara vinavyostahimili mvua na jua.
Bei: TSh 73,900
Delivery inapatikana nchi nzima
Wasiliana: