Taa Ya Solar Hii Floodlight 200w Nzuri Sana Mwanga Mkali
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 3 yaliyopita
21 maoni
Taa Ya Solar Hii Floodlight 200w Nzuri Sana Mwanga Mkali
Sunking
Chapa
Taa za Biashara
Aina
Chapa Mpya
Hali
Taa za Mtaa za Jua
Aina ndogo
200watts
Nguvu nyepesi
LED
Chanzo cha Mwanga
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Taa ya sola ya SUKHIG model SK-K47 ni suluhisho bora kwa mahitaji ya mwangaza wa nje. Ikiwa na paneli yenye uwezo wa 18W, voltage ya DC6V, na umeme wa 1.5AH,
taa hii inatoa mwangaza wa kutosha kwa maeneo ya wazi bila gharama ya umeme.
Imeundwa kwa teknolojia ya kisasa yenye open circuit voltage ya DC7.2V na short circuit current ya 3A, huku ikiwa na power tolerance ya ±5% kuhakikisha utendaji thabiti.
Mwangaza mkali wa 200W unaofaa kwa maeneo ya wazi kama viwanja, barabara, bustani, na maeneo ya biashara.
Inatumia nishati ya jua hakuna bili ya umeme!
Inafaa kwa hali ya hewa mbalimbali
Matumizi Yanayofaa:
Maeneo ya biashara na viwanda
Maegesho ya magari
Barabara za mitaani
Bustani na maeneo ya burudani
Shule, hospitali, na taasisi za umma