Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Boss wangu kama unavyo inaona iyo taa ni taa ya kwenye FENCE
wale wenye fence fupi ni muda wenu wa kujidai
Taa aingii maji ni waterproof
inatumia solar na sio umeme
Inawaka hadi Asubuh
Warranty mwaka 1
Karibu boss