TAA SOLAR NJE: 3000w Hii Ndio Taa Kubwa Mwanga Mkali
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, 56 min ago
7 maoni
TAA SOLAR NJE: 3000w Hii Ndio Taa Kubwa Mwanga Mkali
Alltop
Chapa
Solar Lights
Aina
3000watts
Nguvu nyepesi
12V
Volteji ya Ingizo
Brand New
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 7,000 - 15,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Nishati Safi na Rafiki wa Mazingira
Hutumia nishati ya jua ambayo ni chanzo safi na kisichochafua mazingira
Kupunguza Gharama za Umeme
Hakuna gharama za matumizi ya umeme wa gridi hivyo utaokoa pesa za bili za umeme
Urahisi wa Matumizi
Rahisi kufunga na kutumia kwenye maeneo mbalimbali bila haja ya miundombinu ya umem
Usalama na Uaminifu
Hutoa mwanga mkali usiku ambayo inaweza kuongeza usalama wa maeneo yako
taa ya solar ya 3000W inayo teknolojia ya kujiwasha na kujizima kiotomatiki kutokana na mwanga wa jua Hii inamaanisha kuwa itawaka yenyewe jua linapotua na kuzima yenyewe jua linapochomoza
Muda wa Kuchaji
Kwa kawaida inahitaji saa 6-8 za jua moja kwa moja ili kuchaji
Baada ya kuchaji kikamilifu inaweza kutoa mwanga kwa masaa 10-12 usiku kucha kulingana na ubora wa betri na paneli ya solar
Karibu sana mteja