Solar Pole Mounting 6m (3x2) Imara Kwa Street Light
Kampuni
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
26 maoni
Solar Pole Mounting 6m (3x2) Imara Kwa Street Light
+1
2
Other
Chapa
Solar pole mounting
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Pole ya solar yenye urefu wa mita 6 (6m) na vipimo vya 3” kwa 2”. Imetengenezwa kwa chuma imara kisichoshika kutu, kinafaa kwa matumizi ya nje kwenye taa za barabarani, bustani, au maeneo ya biashara. Inakuja ikiwa tayari kwa kufungwa na inabeba street light hadi 300W kwa usalama. Inadumu muda mrefu hata kwenye jua na mvua.
Bei: 285,000=
Urefu: 6m
Size: 3” × 2”
Material: Heavy-duty galvanized steel
Inafaa kwa: Solar street lights zote za kisasa