Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Mtambo wa Solar Lighting Kit 20W – Suluhisho la mwanga nyumbani bila bili za kila siku!
Unapata:
Paneli ya solar 20W
BetriN14 ndani ya box la kuhifadhi
Taa 4 zenye mwanga mkali
Chaja ya simu
Charge Controller 6A
Muundo wa kuweka
(mount structure)
Delivery nchi nzima.