Solar Led Light 1200w Original Inawaka Hadi Asubuhi
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
76 maoni
Solar Led Light 1200w Original Inawaka Hadi Asubuhi
Sukhig
Chapa
Taa za Biashara
Aina
Chapa Mpya
Hali
Taa za Mtaa za Jua
Aina ndogo
1200watts
Nguvu nyepesi
LED
Chanzo cha Mwanga
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Sukhig 1200W All-in-One Solar Street Light (Original)
Taa ya Solar yenye mwanga mkali sana (1200W), inafaa kwa usalama wa nyumba, fensi, na barabarani.
Inajitegemea bila nyaya wala bili ya umeme.
Sifa Kuu:
Nguvu: 1200 Watts (Mwanga mweupe mkali).
Automatic: Inawaka yenyewe giza likiingia na kuzima asubuhi.
Motion Sensor: Inaongeza mwanga mtu akipita karibu.
Battery: Lithium inayodumu usiku kucha (masaa 12+).
Waterproof: Inahimili mvua na jua (IP66).
Remote: Inakuja na rimoti ya kuongozea mwangaza.
Ufungaji: Rahisi sana, haihitaji fundi wala nyaya.
Bei ni 150,000 tu! Unapata 1200w original
Mikoani tunatuma
Delivery tunafanya kwa gharama za mteja
Mawasiliano071XXXXXXX