Solar Backup System: Alpha Ess 3kw Inverter Na 5.12kwh Lithium Pack
Kampuni
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
160 maoni
Solar Backup System: Alpha Ess 3kw Inverter Na 5.12kwh Lithium Pack
+1
Alpha
Chapa
Betry za Mzunguko wa kina
Aina
Hybrid Inverter
Aina za Kigeuzi
100aH
Uwezo wa Betri
Chapa Mpya
Hali
48 V
Volti Iliyokadiriwa
5kWh
Jumla ya Nishati ya Betri
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Alpha ESS All-In-One Solar Power System (3kW Inverter / 5.12kWh Lithium Battery)
Je, umechoka na kukatika kwa umeme mara kwa mara? Pata mfumo wa kisasa wa Alpha ESS unaojumuisha Inverter na Betri ya Lithium kwenye boksi moja (All-In-One).
Ni rahisi kufunga na inachukua nafasi ndogo sana!
Sifa Muhimu:
Inverter: 2400W Off-grid Inverter (Nguvu kubwa kwa matumizi ya nyumbani).
Battery: 5120Wh (5.12kWh) Lithium Battery inadumu miaka mingi kuliko betri za kawaida.
Charger: 80A MPPT Built-in (Inachaji haraka kwa kutumia nguvu ya jua).
Muundo: All-In-One System (Inverter na Betri ziko pamoja kwa usalama zaidi).
Warranty (Dhamana):
Miaka 2 kwa Inverter.
Miaka 5 kwa Betri ya Lithium.
Matumizi: Inafaa kwa taa, TV, Friji, Kompyuta, feni, na vifaa vingine vya kielektroniki.